Sunday, March 21, 2010

UCHAGUZI MWAKA 2010

Kwa kweli  mwaka huu  kuna  kazi  maana sehemu  kubwa  ya Wabunge hawakubaliki.

Sunday, March 7, 2010

MAENEO KADHAA JIJINI DSM YAMEKUWA DUMP YA KUDUMU, UCHAFU UMEWEKWA KILA MAHALI HASA WILAYA YA ILALA KWENYE MAENEO PEMBENI MWA RELI

Maeneo mengi Jijini ni Machafu,
Pembeni mwa Reli iendayo Ubungo kumekuwa DUMP la kudumu.
Ilala ndiyo inaongoza kwa Uchafu.
Hali Mashauri ijitahidi, Ili kuepusha magonjwa ya milipuko.